'Supacheka custom slideshow' , 'SMS Mahela' , 'DStv' , 'BB Plans' , 'MBet custom slideshow' , 'Fastjet'

Wednesday, April 3, 2013

VIDEO: HUU NDIO UJUMBE WA RICK ROSS KWA LIL WAYNE

Huu ndio ujumbe ambao Rick Ross ameusema kwa Birdman na Lil Wayne alipoulizwa kuhusiana na tafrani iliyompata Weezy hivi karibuni hasa ikizingatiwa kuwa na yeye alikwishakumbana na hali kama hiyo (kuzimia - seizures)mwishoni mwa mwaka jana.