'Supacheka custom slideshow' , 'SMS Mahela' , 'DStv' , 'BB Plans' , 'MBet custom slideshow' , 'Fastjet'

Wednesday, April 3, 2013

KUTOKA KWA CHRIS BROWN NA RIHANNA TENA

Chris ambaye kwa sasa anashughulikia kukamilisha albam yake mpya, katika mahojiano haya amesema kuwa ana project mpya ambayo inakwenda kwa jina 'X' ambayo itatoka mwezi Mei na hii pia itamhusisha rapa mpya anayetishia kwa sasa, Kendrick Lamar. Kutoka katika maneno yake aliyosema kuhusiana na kazi hii na Rihanna (nukuu); “I wrote a song for her called “Put It Up” that we did together, It’s still in the pot of songs we have to pick from. It may or may not make it, but you know, because she’s already on it, it’s a strong possibility.” - sooo, kwa maana nyingine ni kwamba Put it Up ndio kazi ambayo tunasikilizia sasa kutoka kwa Chris Breezy na Rihanna.