'Supacheka custom slideshow' , 'SMS Mahela' , 'DStv' , 'BB Plans' , 'MBet custom slideshow' , 'Fastjet'

Wednesday, April 3, 2013

DIAMOND AZIDI KUJI PATIA MASHABIKI MKOANI

NISHER NA UJIO MPYA

KUTOKA KWA CHRIS BROWN NA RIHANNA TENA

Chris ambaye kwa sasa anashughulikia kukamilisha albam yake mpya, katika mahojiano haya amesema kuwa ana project mpya ambayo inakwenda kwa jina 'X' ambayo itatoka mwezi Mei na hii pia itamhusisha rapa mpya anayetishia kwa sasa, Kendrick Lamar. Kutoka katika maneno yake aliyosema kuhusiana na kazi hii na Rihanna (nukuu); “I wrote a song for her called “Put It Up” that we did together, It’s still in the pot of songs we have to pick from. It may or may not make it, but you know, because she’s already on it, it’s a strong possibility.” - sooo, kwa maana nyingine ni kwamba Put it Up ndio kazi ambayo tunasikilizia sasa kutoka kwa Chris Breezy na Rihanna.

VIDEO: HUU NDIO UJUMBE WA RICK ROSS KWA LIL WAYNE

Huu ndio ujumbe ambao Rick Ross ameusema kwa Birdman na Lil Wayne alipoulizwa kuhusiana na tafrani iliyompata Weezy hivi karibuni hasa ikizingatiwa kuwa na yeye alikwishakumbana na hali kama hiyo (kuzimia - seizures)mwishoni mwa mwaka jana.

Mario Balotelli Akiwa Na Fanny Robert Neguesh

Huyu ndiye Mrithi wa Kanumba Philemon The Greatest

Huyu ndiye Mrithi wa Kanumba Philemon The Greatest nilie watabilia kupitia facebook na hatimae mama yake alitia baraka na sasa kaonesha uwezo wake wa kuwa yeye ni the Greatest a.k.a Kanumba JR Kupitia movi hiyo hapo chini

PICHA 10 ZINGINE ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA KING KAPITA FT GODZILLA - KUNA TATIZO KWANI ?